Mwenge watua Mbeya, kupitia miradi ya Sh36.4 bilioni
Jumla ya miradi 45 yenye thamani ya zaidi Sh36.4 bilioni mkoani Mbeya inatarajiwa kukaguliwa, kuzinduliwa na kuwekewa mawe ya msingi na wakati wa mbio za mwenge wa uhuru, zilizoanza leo Septamba...